Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]
 Wachezaji hawa wa yanga wakiwa kambini ni washikaji balaa, pi muda wote huwa pamoja na kufnya mabo ya ucheshi

Soma list yao apo chini

-Alipo Aucho na Musonda yupo.

-Alipo Maxi na Nkane (Mwl wa kiswahili) Yupo 

-Alipo Pacome na Guede Yupo

 -Alipo Job na Mshery yupo

-Alipo Aziz Ki, Sure Boy yupo (Jina la Babu kaju analitaja sana)

-Alipo Kibabage ,Kibwana yupo 

-Alipo Mkude,Okrah yupo.

-Alipo Bacca,Diarra yupo


MATUKIO

*Ikiwepo Redio ujue Bacca,Job,Mkude,Skudu hawakosi

*Redio inayopiga mziki lazima ishikwe na Bacca,Job,Skudu 

*Anaependa kusikiliza nyimbo za wasanii wa zamani-BACCA.

*Zilipo story za kuchekesha kambini ujue mchekeshaji ni Farid Mussa

*Ukiona nyimbo zinabadilishwa mara kwa mara  ujue DJ ni Musonda

*Ukiona movie inatazwa ujue ni ya vitisho vitisho sana maana yake Farid Mussa ndio captain hapo hakuna kuangalia movie zenye story nyingi wala zisizo na mkono

*Wanapenda sana utani,Farid,Kibwana,Nkane,Mshery,Job

*Hata mnune vipi wao ni kicheko tu Kibabage,Sure Boy.

*Ukifika muda wa mazoezi ujue Maxi ameshafika kwenye uwanja wa tizi.

*Kocha akimaliza tu program ya mazoezi Maxi wa kwanza

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]