Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


Je sukari ni bei gani ndani ya maeneo ya ifakara na viunga vyake kama mlabani, mashimoni, kionjo, mangwale, kwashungu, mbasa, lipangalala, upogoroni, mhola na maeneo mengine ya ifakara na karibu na ifakara


Na je wafanyabiashara wa ifakara wanafuata bei elekezi iliyopangwa na serikali kupitia mamlaka husika?

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]