Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


Kulingana na ripoti kutoka kambi ya Morocco nchini Ivory coast kwenye mashindano ya AFCON, imebainika nyota wa Morocco Hakim Ziyech anahofia mechi ya Mzunguko wa 16 dhidi ya South Africa (Bafana Bafana) 


Ilibainika Ziyech alikosa mazoezi siku ya Ijumaa na Jumamosi alipokuwa akilalamika kuhusu maumivu katika kifundo chake cha mguu.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]