Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Klabu ya Simba imetangaza kuwasimamisha wachezaji wake wawili wa kikosi hicho, Clatous Chama na Nassor Kapama kutokana na utovu wa nidhamu.


Katika taarifa iliyotolewa na klabu hiyo leo na Ofisa Mtendaji Mkuu, Imani Kajula ilieleza kusimamishwa kwa nyota hao huku wakipelekwa katika kamati ya nidhamu kwa hatua zaidi za kinidhamu.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]