Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


Taarifa za ndani zinaharifu kuwa Raisi wa Klabu ya Young Africans eng. Hersi yupo Africa kusini kukamilisha dili la mchezaji Ranga chivaviro ambae ameshindwa kupenya kwenye kikosi cha kwanza cha Kaizer Chiefs wiki iliyopita Chivaviro aliwasilisha maombi ya kuomba kutolewa kwa mkopo au kuuzwa kwenye msimu wa dirisha Dogo.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]