Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


Aliyekuwa mke wa Will smith Jada Pinkett amefichua kuwa yeye na Will Smith walitengana tangu mwaka 2016 ila waliamua kuweka jambo hilo faragaha na hawakutaka kuweka hadharani suala hilo la kutengana kwao kimahusiano.


Kupitia Interview aliiyofanya na Hoda Kotb kupitia kipindi Cha Today Show Jada amesema wametangana miaka 7 iliyopita ila kwenye picha wanaonekana kama wanandoa na wenye furaha lakini walikuwa wanaishi maisha tofauti.


Will Smith na Jada Pinkett walioana tangu mwaka 1997 na kupata watoto kadhaa mfano jaden smith na wengine lakini bado hawajatalakiana kisheria na ndoa yao imekuwa ikichunguzwa katika kipindi ambacho wametengana.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]