Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Kiungo wa Singida Fountain Gate kutoka Brazil Bruno Gomes amesema ana kazi kubwa ya kufanya kurudisha ubora wake wa msimu uliopita baada ya kukiri kuchelewa kujiunga na timu kumemrudisha nyuma kiasi kwamba hadi sasa bado anajitafuta.


Amesema Bruno gomess barroso Mchezaji wa singida fountain gate


“Nimejiunga na timu kwa kuchelewa bado sipo imara zaidi, lakini naamini hilo haliwezi kuniondoa mchezoni naamini nina muda na nafasi ya kuonyesha kile nilichonacho. Usajili uliofanyika unaniongeza changamoto ya kupambana zaidi na utanipa nguvu ya kuongezea ubora kutokana na kuhitaji nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza.”No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]