Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Nchini Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema Kanisa hilo linaunga mkono fursa zinazotengeneza kuwawezesha Wananchi kupata maendeleo kupitia Utawala wa Sheria, Kuheshimu Haki za Binadamu na kuruhusu Demokrasia ya kweli kwa Wananchi na kwenye Vyama vya Siasa


Amesema “Kama tukiona kuna sehemu hakupo sawa hatutoacha kuwaonya, kuwashauri, kukemea na ikifika hatua hiyo tusiambiwe kuwa tunachanganya Dini na Siasa.”

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]