Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


 Taifa la Afrika Magharibi la Benin limefuata mkondo wa Nigeria, Ivory Coast, na Senegal kwa kutangaza kwamba ikiwa Mazungumzo yatashindikana watatuma Vikosi vyao vya Wanajeshi kusaidia Uingiliaji wa Kijeshi wa ECOWAS dhidi ya Junta ya Kijeshi nchini Niger.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]