Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Kwa wale wasiojuaa Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini Democratic Republic of Congo (DRC) Nonda Shaban Papii aliwahi kucheza Yanga akaenda Vaaal professional fc ya Africa Kusini mwishoee akaenda Ulaya kucheza Monaco,Fc Basel,Zurich nk .


Hapa najaribu kukumbusha Mayele nae anapita mule mule kama Papii useme kidogo yeye umri ila angekua kama Papii huyu nilikuwa namuona mbali sana,ila sijui kwann Wakongo na Yanga wengi hufanikiwa sana iwe wachezaji au makocha WAKIJA Yanga wanafanikiwa sana mfano Tambwe Leya na Roul Shungu


 hawa makocha wote walifanikiwa sana wakiwa Yanga mwingine ni Mayaula huyu jamaa baba yake alikuwa balozi wa DRC hapa Tanzania akaanza kucheza mpiraa hapa Tanzania Kwa timu ya Yanga ila waliporudi kwao Kongo akawa mwanamziki mkubwa sana nchini Kongo hao ni Kwa uchache sana nita andaa article rasmi kuhusiana na Wakongo na Yanga

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]