Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


Kutoka halmashauri ya mji wa ifakara iliyo na ofisi zake ifakara mjini, mheshimiwa mkuu wa wilaya ya kilombero ndugu Dastan Kyobya alikutana na wachezaji wawili kutoka wilaya ya kilombero wanaokipiga katika ligi kuu ya NBC premier league


kulia ni Moses nasoro msukanywele anayekipiga katika klabu ya Tabora united zamani ikiitwa kitayosce na katikati ni mkuu wa wilaya ya kilombero mheshimiwa Dastan Kyobya na kushoto ni Greyson Gerald Gwalala anayekipiga pale costal union ya mkoani Tanga , zote zikiwhiriki ligi kuu ya Tanzania 
Ameandika Moses Msukanywele kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuhusu ziara hiyo


"Kwanza tunamshukuru mungu kuweza kutupatia nafasi ya kukutana na MH. MKUU WA WILAYA YA KILOMBERO na kuongea mawili matatu yakutupa moyo kwenye halakati zetu za michezo shukrani sana 💙💪"


JE Nini neno lako au ushauri kwa vijana hao kutoka ardhi ya kilombero?

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]