Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


Kiungo Mnigeria aitwaye Morice Chukwu anatarajiwa kutua nchini ili kumalizana na Singida Fountain Gate itakayompa mkataba wa miaka mitatu tayari kujiwinda na michuano ya Caf kuanzia mwezi Agosti.


Nyota huyo anayekipiga katika kikosi cha Rivers United ya Nigeria, kilichoishia robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kikitolewa na Yanga kwa jumla ya mabao 2-0 inadaiwa atatua nchini wikiendi hii baada ya kukubali ofa ya Singida fontain gate.


Awali,Morice Chukwu alikuwa akitajwa kuwindwa na Simba na Yanga, lakini ofa ndogo alizowekewa mezani Singida ndizo zilizomfanya aamua kuichagua Singida iliyokuwa na ofa nono zaidi.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]