Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


Kikosi Cha Young Africans SC kimeshawasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere tayari kwa safari ya kuelekea Malawi kupambana dhidi ya nyasa big bullet kwenye mchezo kirafiki.


Kipa wa Yanga U20 anaitwa Ismail (Gago) kutokea bonde la mto kilombero pale mjini ifakara atakuwepo golini kwa ajili ya kuwazuia washambuliaji wa nyasa big bullet wasipate kitu. Ni kijana mwenye kipaji kutoka ardhi ya nyumbani kabisa. Mungu amtamngulie katika mapambano yake.


Kuwa karibu nasi

#timuyawananchi 

#daimambelenyumamwiko

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]