Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


RASMI: Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limetangaza kuidhinisha matumizi ya sheria mpya ya kuotea ambapo kwa sasa ili mchezaji ahesabike kuwa ameotea lazima mwili wake wote uwe mbele ya mchezaji wa timu pinzani badala ya sehemu ya mwili wake tu kama ilivyo awali.


Sheria hiyo mpya inatafanyiwa majaribio Nchini Sweden, Uholanzi na Italia kwa baadhi ya mechi.


Awali ikiwa mchezaji yupo mbele ya mchezaji wa timu pinzani hata kwa inchi moja alihesabika kuotea lakini kwenye sheria hii mpya lazima mwili wote uwe mbele.


NB: Kwa sheria hii mpya mchezaji anayeonekana pichani hayupo kwenye mazingira ya kuotea.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]