Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]wameandika katika ukurasa wa mitando ya kijamii wa Klabu ya Yanga

"Yanga ndio timu ya kwanza kucheza kwenye ardhi ya Malawi kwenye maadhimisho makubwa ya uhuru wao Wananchi wa Malawi.


Yanga ndio timu ya kwanza kwenda ikulu ya Malawi


Yanga ndio timu ya kwanza kucheza mechi mbele ya maraisi wawili


Yanga ndio timu ya kwanza kuwafanya Viongozi kuandaa mechi nyingi za ngao ya jamii


Yanga ndio timu ya kwanza kuweka kambi uturuki na  kuwapa darasa timu ndogo Tanzania kuweka pre season UTURUKI.(Nzala watamaindi)


Yanga ndio timu ya kwanza kubeba Medali nne kwa msimu mmoja.


Yanga ndio timu pekee ambayo inakwenda kumiliki uwanja wake ambao upo town kabisa


Yanga ndio timu ya kwanza Tanzania kumleta kocha Kutoka Argentina mabingwa wa soka la dunia.


Yanga ndio timu pekee ambayo imecheza Fainali ya CAF 2023.


Yanga ndio timu ya kwanza kuipa thamani jezi zake kuingia sokoni na kuipa faida klabu kwa kukusanya mapato mengi kuliko klabu yoyote ile Afrika mashariki na Kati 1.8B 


Hii ndio Yanga mabingwa wa nchi na ICONIC ya Watanzania wote."

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]