Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


FT: ASANTE AFRIKA 6-2 MBASA FC

Mchezo umeisha kwa Asante Afrika kuchomoza na ushindi wa goli 6 kwa mbili dhidi ya mbasa FC, magoli ya Asante Afrika yakifungwa na James, Roja,Jimmy,Kahawa na magoli mawili kufungwa na captain Karimu

Hivyo basi Asante Afrika nae katinga hatua inayofuata akitanguliwa na jongo FC siku ya jana


No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]