Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]Uamuzi wa kufungiwa kusajili wachezaji wa kimataifa kwa klabu ya singida fontain gate na kitayosce, umefanywa baada ya Kocha Ahmed El Faramawy Youse Mostafa Soliman kushinda kesi za madai dhidi ya Klabu hizo


Pia, zimefungiwa na Shirikisho la Soka la Tanzania TFF kufanya usajili wa ndani


Baada ya Soliman kushinda kesi ya kuvunjiwa mikataba, Klabu hizo zilitakiwa ziwe zimemlipa ndani ya Siku 45 tangu uamuzi huo ulipotolewa lakini hazikutekeleza.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]