Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


 

Msanii anjella aliyekuwa chini ya Lebo ya konde music worldwide siku ya Julai mosi alikuwa akitumbuiza Pande za ifakara katika club ya TikTok night club iliyopo pale ifakara mjini


Anjella alitumbuiza Jimbo baadhi alizitoka nazo kwenye Lebo yake ya zamani kama kioo, nikimpata na zinginezo nyingi tu, Na hii ni vile jinsi alivyokonga roho za Wana ifakara

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]