Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


 Hii video inatuonya Wananchi kuwa makini na ununuzi wa karanga maeneo ya barabarani kwa sababu baadhi ya watengenezaji wa karanga hizo wanatumia makemikali makali baadala ya moto katika ukaushaj na uivishaji wa karanga hizo. Ambapo baadhi ya kemikali hizo ni sumu kwa afya ya mwanadamu

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]