Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]Fulham wanataka kumsajili kiungo wa Brazil Fred, 30, anayechezea klabu ya Manchester United. chanzo kutoka (Telegraph - usajili unahitajika)

Everton wana nia ya kumnunua kipa wa Crystal Palace na Uingereza Sam Johnstone, 30, ikiwa Jordan Pickford ataondoka katika klabu hiyo. chanzo kutoka (Sun)

Leicester City wanataka zaidi ya pauni milioni 50 kumnunua kiungo wa Uingereza James Maddison, 26, huku Tottenham na Newcastle zikimwania.chanzo kutoka (Sky Sports)

Arsenal wametoa ofa iliyoboreshwa ya £60m kwa mshambuliaji wa Chelsea na Ujerumani Kai Havertz, 24. chanzo kutoka (Mail).

Newcastle wanafikiria kusitisha nia yao ya kumnunua kiungo wa kati wa Inter Milan na Italia Nicolo Barella, 26. chanzo kutoka (Independent)Manchester City, Chelsea na Liverpool wanawania kumsajili kiungo wa kati wa Real Madrid na Uruguay Fede Valverde, 24, msimu huu. chanzo kutoka (Teamtalk)

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]