Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Timu ya taifa ya tanzania taifa stars imefanikiwa kushinda goli moja kwa bila dhidi ya timu ya taifa ya Niger ambapo goli la tanzania limefungwa na simon msuva katika kipindi cha pili baada ya kupata pasi ya usaidizi kutoka kwa Novatus dismas. kwa matokeo haya ni kwamba tanzania inapanda hadi nafasi ya pili chini ya timu ya taifa ya aljeria huku tukimwombea uganda afungwe na aljeria ambapo uganda atakua katika uwanja wake wanyumbani

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]