Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Leo hii Raisi wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu(FIFA) Gianni Infantino ameipongoza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/2023.

pia Infantino ametoa pongezi hizo kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF).

“Isingekuwa rahisi kutwaa ubingwa huo bila bidii ya timu nzima, ari na kujitolea na kila mtu kwenye klabu anaweza kujivunia hilo,” amesema Infantino.

Aidha Rais huyo wa FIFA ameipongeza TFF kwa mchango wake katika maendeleo na ustawi wa soka Tanzania na Afrika.

Yanga imetwaa ubungwa wa soka Tanzania Bara zikiwa zimesalia mechi mbili ligi hiyo kuhitimishwa.No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]