Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Kazi Bado inaendelea pale msimbazi kwa ajili ya kulekebisha kikosi kwa ajili ya msimu ujao 

Kutoka kurasa za Simba SC wameandika

"Baada ya kuwa kwenye kikosi chetu kwa msimu mmoja, Victor Akpan hatakuwa sehemu ya timu yetu ya msimu ujao. Taarifa zaidi kwenye Simba App. 


No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]