Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


Kutoka Msimbazi mitaa ya kariakoo Bado panga linaendelea kupita, ambapo Mohammed Ouattara ameachwa na Simba SC na sasa klabu hiyo imeacha na beki huyo raia wa Burkinafaso.


Klabu ya Simba SC imetoa taarifa ya kuachana na mchezaji huyo kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii.


imeandikwa “Uongozi wa klabu unatangaza kutoendelea na mlinzi wa kati Mohamed Ouattara.”


Simba ilimsajili Mohammed Ouattara akitokea Al Hilal ya Sudan na sasa yuko huru.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]