Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


 Mwaka 2012 kwenye mashindano ya UEFA EURO CHAMPIONS LEAGUE Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Hispania Fernando Torres alitwaa tuzo ya mchezaji bora licha ya kuwa na idadi sawa ya magoli na mshambuliaji Mario Gomez wa Ujerumani

Kigezo kilichotumika kumpa Torres kiatu cha dhahabu ni kuwa alicheza dakika chache kulinganisha na Gomes na pia Torres alikua na assist moja wakati Gomes hakua nayo

Fiston Mayele amecheza mechi nyingi 26 amefunga magoli 17 na Saidoo amecheza mechi chache 23 amefunga 17 na Asisst kama zote 12

Kwa antiki hiyo Saidoo ndo mfungaji bora msimu huu kwani kama angecheza mechi sawa na Mayele angekua na magoli mengi zaidi

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]