Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


BREAKING NEWS : EL PISTOLERO - LUIS SUAREZ Anatarajia kutangaza kustaafu soka siku za usoni 😱


Suarez Anatarajia kutangaza kustaafu soka la kulipwa kutokana na maumivu makali aliyonayo katika kifundo Cha mguu wake wa kulia aliyonayo kwa muda mrefu kushindwa kuvumilika kwa sasa. 💔


Taarifa hii ni kutokana na taarifa iliyotolewa na Mchezaji mwenza wa Suarez katika club yake ya Sasa Grémio

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]