Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Rasmi Kai Havertz ajiunga na Klabu ya Arsenal inayotokea mjini London kwa makubaliano ya pauni milioni 65 kutoka Chelsea, hapa tunathibitishwa

huu ni uthibitisho kutoka klabuni arsenal 

“Inanisisimua sana kujiunga na kilabu hiki cha kushangaza na kuwa sehemu ya familia ya Arsenal. Klabu hii ina historia kubwa sana, Natumai tunaweza kufikia vitu vingi", Havertz anasema katika taarifa rasmi ya Arsenal

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]