Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Hapa ni moja wapo ya ukweli juu ya chakula. Asali inayozalishwa na nyuki kutokana na ukusanyaji wa viambata kutoka katika sehemu mbali mbali kama kwenye mimea, mabaki ya vyakula, matunda n.k. Pia Asali inapopashwa moto na kufungwa vizuri pia Haitaweza kufyonza unyevu na kwa hivyo utabaki milele.Chupa ya kale zaidi ya asali iliyopata kupatikana imetajwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 5500 leo.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]