Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]  Harmonize Alipotoka WCB WASAFI Alilalama Kuwa Ananyonywa Lebo Inachukua 60% Na Yeye Anachukua 40%, Akalalama Zaidi Kuwa Ametakiwa Harmonize Alipotoka WCB WASAFI Alilalama Kuwa Ananyonywa Lebo Inachukua 60% Na Yeye Anachukua 40%, Akalalama Zaidi Kuwa Ametakiwa Kulipa Milioni 600 Ili Kujitoa Kwenye Lebo. Watu Wengi Walimtukana Sana Diamond  Kulipa Milioni 600 Ili Kujitoa Kwenye Lebo. Watu Wengi Walimtukana Sana Diamond Platnumz Kwa Kumuita Mnyonyaji, Leo Hii Naye Amefungua Lebo Ambayo Inachukua 60% Na Msanii 40% Kile Ambacho Alilalamika WCB WASAFI Wanamfanyia Ameenda Kiwafanyia Wenzie Je Naye Ni mnyonyaji?.

   Alilalama Kuwa Amewekewa Pesa Nyingi Sana Za Kuvunja Mkataba Wasafi kiasi cha shilingi milioni 600 Lakini Yeye Ameweka Kipengele Kinachota Msanii Kulipa Kiasi Cha Bilioni 1 Msanii Akitaka Kujitoa Je Naye Tumuite Mnyanyasaji? Tuliwahi Kusema Kuwa Harmonize Anatafuta Kuonewa Huruma Na Watu Kwa Kumtukana Diamond Platnumz Kuwa Mnyonyaji Wale Mashabiki Zake Wakatukana Sana Haya Leo Nyie Mliokuwa  Mnamtukana Diamond Platnumz Kuwa Mnyonyaji Mtukaneni Na Harmonize. 

   Kuna Wakati Mashabiki Tuache Mihemko Ya Kishabiki Kutukana Hovyo Haya Yule Uliyekuwa Unamtetea Kwa Matusi Naye Ameenda Kufanya Kilekile Alichokuwa Analalamikia, Tuacheni Kuwa Vifuata Upepo Wasanii Hasa Hawa Wa Sasa Ni Waongo Sana. Leo Wale Wafia Imani Wa Harmonize Wanasema Kuwa Madogo Wanamchafua Harmonize Wamesahau Kuwa Harmonize Alifanya Hivi Ili Kujibusti Na Kupata Wafuasi. 

  Hili Likawe Funzo Kwa Mashabiki Wote Ambao Wanajua Kukurupuka Tu Pasipo Kufikiri Maana Muungu Haachi Kumuumbua Mnafiki.


Usisahau kufollow page yetu ya drone online Facebook na instagram

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]