Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


HT: WAASI 3-0 KIBAONI

Mechi kati ya waasi kutoka ifakara mjini  na kibaoni imefika halftime kwa waasi kuongoza goli tatu, goli la kwanza limefungwa na Carlos mlichi la pili limefungwa na ngasa na goli la tatu kufungwa na Eddie kwa assist mujarabu iliyotolewa na ngasa na kibaoni hawajapata kitu Hadi half time

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]