Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


FT: WAASI 3-2 KIBAONI


Mechi kati ya waasi kutoka ifakara mjini na kibaoni imeisha kwa waasi kushinda kwa goli tatu, goli la kwanza limefungwa na Carlos mlichi la pili limefungwa na ngasa na goli la tatu kufungwa na Eddie kwa assist mujarabu iliyotolewa na ngasa

Kibaoni pia wamepata magoli mawili yaliyofungwa na p.njulimba pamoja na p.matola katika kipindi Cha pili Cha mechi hiyoNo comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]