Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


 Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania 'TFF' limeweka wazi Tarehe ya Dirisha Kubwa la usajili kwa Ligi zote kwa msimu mpya wa mashindano wa 2023/2024


Ambapo itafunguliwa rasmi Jumamosi Julai 1, 2023 na kufungwa Agosti 31, 2023


Aidha Klabu zote za ligi kuu zinatakiwa kufanya usajili na uhamisho wa wachezaji


Pia Huku wakisisitiza hakutakuwa na muda wa ziada baada ya kufungwa kwa dirisha hilo la usajili.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]