Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 Sababu kubwa ambayo imemfanya Nasreddine Nabi πŸ‡ΉπŸ‡³ akose kazi ndani ya Keizer chiefs πŸ‡ΏπŸ‡¦ ni pamoja na kutokubaliana na maamzi ya Klabu,..


 Keizer chiefs walimwambia Kocha Msaidizi wake awe Arthur Zwane πŸ‡ΏπŸ‡¦ ambaye atakuwa mwenyeji wake lakini Nasreddine Nabi πŸ‡ΉπŸ‡³ alikataa na kupendekeza kuwa anataka benchi lake lote watie Saini ndani ya Keizer chiefs,


Ambao ni kocha wake msaidizi, kocha wa makipa na kocha wa  kama Nasreddine Nabi πŸ‡ΉπŸ‡³ kakataa kufanya kazi na Kocha Msaidizi Arthur Zwane πŸ‡ΏπŸ‡¦ basi Bora waangalie Kocha mwingine


Mwisho wa siku Wakaamua kumteua Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦ Molefi Ntseki kuwa Kocha Mkuu.


No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]