Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Leo hii klabu ya Young Africans SC imemuaga Rasmi aliyekuwa Mchezaji wao Dickson Ambundo na kuelekea kutafuta changamoto mpya

Wameandika Young Africans SC katika kurasa zao za kijamii 

"Tunamshukuru Ambundo kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC". 

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]