Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 
Rais wa (CAF), Patrice Motsepe amethibitisha kuwa michuano ya African Super League itaanza rasmi mwezi Oktoba 2023 badala ya August 2023.


» Pia amesema wameamua kubadilisha jina la michuano hiyo, haitaitwa tena AFRICAN SUPER LEAGUE kuanzia sasa.


» Sababu za michuano hiyo kubadilishwa jina, Motsepe ameeleza kuwa, baadhi ya Wadhamini wamesema historia ya Super League barani Ulaya haikuwa nzuri. 


» Aidha, Rais huyo kutoka Afrika kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦amebainisha kuwa wataalika timu moja mpya kwa ajili ya kuvutia wadhamini. 


No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]