Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida amechukua uamuzi wa kumuondoa katika nafasi ya msimamizi mtoto wake ambaye ni Katibu Mkuu wake kutokana na kuonesha 'tabia isiyofaa'

Aidha Hatua hiyo imekuja baada ya picha kuvuja, zikimuonesha kijana huyo akisherekea sherehe za mwisho wa mwaka pamoja na ndugu zake katika makazi rasmi ya Waziri Mkuu huku wakufanya vitendo vilivyotafsiriwa kuwa 'utovu wa nidhamu'

Kishida amesema amechukua uamuzi huo ili kuonesha Uwajibikaji kwa vitendo alivyovifanya mtoto wake huyo


No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]