Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Kwa mujibu wa shirika la chakula duniani FAO limeripoti kuwa watu zaidi ya milioni 828 Duniani wanalala bila kula wakati wa usiku Kila siku ya mwaka

Kwa Takwimu hizo ni takribani 10% ya Watu wote ambao wana changamoto ya kukosa Chakula ikiwa ni ongezeko la Watu milioni 46 zaidi ya ilivyokuwa Mwaka mmoja uliopita

Pia silimia kubwa kiasi Cha Mbili ya tatu ya watu hao ni Wanawake huku 80% ya wenye changamoto wanaishi katika maeneo yanayokabiliwa na Mabadiliko ya Hali ya Hewa kupelekea kukosa chakula 

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]