Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Uamuzi huo wa kubadilisha sheria unatarajiwa kufanyika ili Taifa kuwa na nguvu ya kuamua mtu wa kumkamata pindi anapotuhumiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC

Hoja hiyo imeibuka baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa na mwaliko wa kushiriki katika kikao Agosti 2023 Nchini Afrika Kusini na yupo hatarini kukamatwa kutokana na Vita inayoendelea baina ya Urusi na Ukraine lakini wenyeji wake hawataki akamatwe kwa kuwa wao hawana upande katika vita hiyo 

Chama cha Upinzani cha Democratic Alliance DA kimesema kitafungua kesi kupinga uamuzi wa Serikali kwa kuwa wao wanataka Putin akitua Afrika Kusini akamatwe

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]