Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Kaandika Mchezaji FEISAL SALUM Leo

"Ndugu zangu Watanzania, natamani kurudi uwanjani na kuendelea kuwafurahisha wapenda soka, nimebakisha hatua chache, nisaidieni niweze kukamilisha nia yangu ya kwenda CAS na kupata haki ya kurudi tena uwanjani.

Nimekumbuka Nyakati bora, nimekumbuka kupiga mashuti yangu ya Mbali, nimekumbuka kufurahia na mashabiki wa soka. Fei Toto ni mmoja tu, msaidie arudi uwanjani kwa Haki inayotaka kudhulumiwa.

Unaweza kulipia kwa lipa namba (5406394 FEISAL SALUM) hapo pichani au kwa namba hii ya simu kwa kwa Tigo Pesa 067 912 8899 FEISAL SALUM ABDALLAH.

Aidha anatoa pole kwa Kifo cha Shabiki wa Soka na majeruhi katika kadhia ya Jana"

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]