Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Ameandika Zamaradi Mketema CEO wa Zamaradi tv Leo katika account yake ya Instagram alipozindua Rasmi kipindi Cha SINGLE MAMAS CLUB

"Hiki ndicho kipindi chenyewe nilichokiongelea!!!!

Na Kwa unyenyekevu mkubwa nakukaribisha kwenye ulimwengu wa REALITY TV SHOW KUBWA ya SINGLE MAMAS CLUB!! Kipindi kinachoweza kuangaliwa sio na wanawake tu ila hata wanaume na wakajifunza na kuondoka na mengi’

Lengo kubwa la kipindi hiki ni kuelimisha/kufunza, Kuinua, Kutoa moyo kwa waliokata tamaa, kutransform maisha kwa ujumla ili Dunia iwe sehemu salama na ya furaha kwa kila mmoja

Shukran kwa Team yangu nzima ya @zamaraditv kwa kuweza kusaidia kufanikisha hili kwa ukubwa

Ukiachana na kuwa na wazo na kusimamia kama Producer nyuma yangu kuna wengi waliofanikisha"

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]