Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


Hizi ndizo baadhi ya timu kutoka barani ulaya ambazo zitashiriki ligi ya mabingwa ulaya kwa msimu wa mwaka 2023/24 kutoka mataifa kama England, Germany, Italy, Spain, France na nchi nyinginezo za ulaya 

Ambapo England inawakilishwa na timu nne nazo ni Manchester city, Arsenal, Newcastle united,pamoja na Manchester united

Spain nayo ikiwakilishwa na Barcelona, real Madrid, A.madrid pamoja na real sociedad 

Italy ikiwakilishwa na Napoli,Lazio, inter Milan pamoja na AC Milan

Germany pia ikiwakilishwa na Bayern Munich, borusia Dortmund, RB Leipzig pamoja na union Berlin

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]