Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Huu ni uthibitisho wa kadi ya kuingia uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam (gate pass) kwa ajili ya fainali ya Kombe la CAF kati ya klabu ya Simba ya Tanzania na Stella Abidjan ya Ivory Coast siku ya Jumamosi Nov. 27, 1993.


Picha nyingine ni Waziri wa Michezo na Utamaduni (wa wakati huo) Prof. Philemon Sarungi akimvisha medali ya fedha Mchezaji Bora wa Simba, George Masatu baada ya Simba kukubali kichapo cha bao 2-0 kutoka kwa klabu ya Stella Abidjan wakati wa Fainali za Kombe la CAF zilizochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Nov. 27, 1993.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]