Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 


Kaandika Haji manara katika ukurasa wake wa Instagram muda huu


"Bugaaaaaaaaaa ,,The Magical Bugati.


Ipo hviiii, Ikiwa wewe ni Mwandishi au Mchambuzi au hata Mdau wa Football kama Mshabiki, na unapenda sana likes na Comments nyingi mitandaoni ,ingia katika Page yako kisha andika lolote baya la kumsema Bugati, Wallah utakuja kunishukuru baadae.

Toka likes za namba za Viatu na Comments mbili tatu, utashangaa engagement utakayopata ghafla, Comments zitakushinda hadi kusoma.

Ila inabidi uwe mstahmilivu tu na Wananchi, Watakutukania hadi familia yako kwenu kijijini, huwa hawana simile na Bugati wao.

Over 95% Ya Comments zitakuwa mineno michafu hadi kwa Wazazi wako ambao hawana hata kosa.Kiufupi utapata umaarufu wa muda mfupi ila ndio kama nilivyowaeleza Mabibi na Mabwana ,,Utayakoga hasa 🤪🤪

So, hiyari ni yako na kupanga ni kuchagua, upate Likes na comments bwerere kisha utukanwe au umuache Buga aende zake.,,

Nb:: Panga langu Sijalisahau nnalo ndani ya Jacket nimelihifadhi 🤪🤪

Pyeeeeeeeeeee"

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]