Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]Matukio katika picha, mkutano wa leo hii jioni Mei 29,2023 Kata ya Igurubi, Jimbo la Igunga mkoani TABORA Mgeni rasmi akiwa Mwenyekiti wa Chama Cha CHADEMA Taifa,Freeman Mbowe. Ikiwa ni mkutano wa sita kati ya saba aliyoifanya kwa siku ya leo mkoani humo katika harakati za kupambania Katiba mpya nchini Tanzania

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]