Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]

 Klabu ya FC Barcelona na uongozi wake wamezika baadhi ya kumbukumbu za mastaa wao zikiwemo captain badge n.k, tukio Hilo lilikamilishwa na kuhudhuliwa na baadhi ya mastaa ao akiweno Sergio busquet,xavi ambaye ni kocha wa klabu hiyo kwasasa.

Lengo kuu likiwa kutunza na kuheshimu mchango wao katika kukuza mafanikio ya klabu kwa ujumla

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]