Drone Online

KARIBU YAKO KWA HABARI ZA UHAKIKA,MAKALA,MICHEZO,MITINDO YA MAISHA NA BURUDANI

Post Page Advertisement [Top]


Kwa Mujibu wa ukurasa wa Twitter wa @AfricaFactsZone Staa wa Muziki wa Bongo Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz anaingiza Mkwanja wa Kiasi cha Tsh.Milioni 183 kutoka kwenye Akaunti yake ya Youtube yenye Wafuasi Milioni 7.73 na kutoka kwenye uwekezaji wake kwa kila Mwezi.

Kwa upande wa Youtube anaingiza $48,000 (Tsh.Milioni 113) na Kwa upande wa Endorsement zake anaingiza $30,000 (Tsh.Milion 70) huku akichukua $100,000 ( Zaidi ya Tsh.Milioni 236) kwa Show Moja.

Mbali na hivyo Staa huyo anamiliki Nyuma 11, Hotel ,Kituo cha Tv na Radio na anamiliki Kisiwa chenye thamani ya $771,000 (Zaidi ya Tsh. Bilioni 1.8).

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]